Maelezo ya picha, Viambato vya kuboreshaji chakula, ikiwa ni pamoja na monosodium glutamate (MSG), hupatikana katika vyakula vilivyosindikwa mara kwa mara kama vile noodles za papo hapo. 11 Juni 2023 ...
Zanzibar ina haiba ya kipekee kutokana na jamii yake yenye mchanganyiko wa watu kutoka mataifa mbalimbali, kwani kila kundi likibeba mila, desturi na mapishi yao. Mchanganyiko huu umeifanya Zanzibar ...